Masihara Remix ft. Idris Sultan & Damian Sol Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Masihara Remix ft. Idris Sultan & Damian Sol - Motra The Future
...
Man unagagaa na upwa, unazagazagaa kama mbwa
msukule mla dagaa na pumba utajiri wa mdomo huna hata kachumba,
huna hata kamchumba, vipi hutahudumia,
huna hata mavumba, sa wazazi watakula nini
sijui nini nakuwazia utajibu nini Kwa muumba
watoto wa Mungu hatukwami, hatufeli,
hatuzami, hatakama yupo katikati feli
Bado tunakiwasha mpaka, na baraka za mitaa ndio taaa
ya kufanya kweli
SI masihara mpaka Zulu sema yebo
mitaa imekubali kila mmoja anasema let's go
msanii mkubwa intercourse kama Label
na Leo tuko zetu Bata point hapa rainbow
wanahofia nikija, nawakinbiza,
nami kilanikija, nawakinbiza tu
mi nang'aa kwenye Radio na TV bila mascara
hawapendi kuniona Niko hivi Kwa roho zao mbaya X2
(Aaaah)
am back na natesa, uko wapi ambae ulikuwa unateta
ulitabiri huu ni mwisho wangu wa kusepa
nikiwepo tubacheka nikiondoka unaniteta
kiti changu akikaliwi, kiatu changu akikaliwi
Tena na wee bishoo ambae hung'ai bila kiwi
unaekesha kumuulizaga Mungu mbona sifiwi
Star ambae ukienda coco na mguu hushangiliwi
mwanaume umekazana my my
mwanaume mzima spy why
hizi mambo ni ni shy shy
mi ni mbaya Hadi si fai fai
naperuzi bila bando ujue mjini mipango
hiki Kipara sikupewa tu kama ni pambo
Acha nifunge magoli yangu usinipangie kiwango
wakati nakuja mjini kwani ulinipatia mchango
wanahofia nikija nawakinbiza
nami kila nijia, nawakinbiza tu
mi nang'aa kwenye Radio na TV bila mascara
hawapendi kuniona Niko hivi Kwa roho zao mbaya