Sisi Sio Marafiki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Sisi Sio Marafiki - Motra The Future
...
sisi sio marafiki linapokuja swala la ridhiki, sisi sio marafiki ouh ouh
hakuna urafiki linapokuja swala la ridhiki, sisi sio mrafiki yeah ouh ouh
Hatuwezi kuwa marafiki coz love imepotea, hatuwezi kuwa friends eti kisa tunaongea, kisa kuna kitu tunashea hatuwezi kuwa kwa sababu kila siku ni hakuna fair
nimefanya hivi juu ya shabiki mmoja hivi mwenye mdomo ambae nahisi hanijui vizuri kua mi ni konya, beats zenu wiki hazijaenda na zina promo, nimekuja nikaona acha niwapush kwa mikono
naskia minong'ono niingie ulingoni kuzipanga labda utakua umenisahau mi sikuchani nakunanga na nakukanda ukiinama napanda hadi mwisho wa siku we mwneywe itakubamba.
(sio marafiki)
eti am your friend, mavi hamna urafiki bongo tena kwenye hii kazi, wivu chuki fitina paparazi, ndio vitatuua hivyo zaidi ya maradhi
dizasta acha boriti jichoni kuna kibanzi waache uongo wanakwambia we ni mkali na hawakupi kazi, hao watakung'oa jino na hawakupi ganzi, mwisho wa siku ushangae wazazi wanakupa radhi.
amna mtu asietaka kufanikiwa amini kwa hiyo ukizikosa hela usijidai ulikua huzitaki kama kisomo chako hakikutoi kwenye umasikini, umasikini upo kwenye skin na daima nyuma utabaki
hata chindo aliimba bendera chuma nabati, akakaa akawaza akaona hizi harakati zilivyoka kindezi ngumu kupata chapati saivi yuko mambele misele tu anaparty...