
Tatoo Ya Asili
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tatoo Ya Asili - Dizasta Vina
...
Dizasta Vina - Tatoo ya Asili
Ah..alizongwa na zimwi,Aliskika jirani
Akitoa hoja kwa Kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kurogwa ndo tafsiri ya gonjwa la UKIMWI
Huo ni ugonjwa jamani Kama gonjwa mwngine,alisema mwalimu
Mwenyekiti alifoka akimwambia kaa kimya sio unaropoka kama mwendawazimu.
Elimu ya mwalimu ilikua ni nuru potevu,nuru ambayo haifiki gizani
see lyrics >>Similar Songs
More from Dizasta Vina
Listen to Dizasta Vina Tatoo Ya Asili MP3 song. Tatoo Ya Asili song from album The Verteller is released in 2021. The duration of song is 00:04:26. The song is sung by Dizasta Vina.
Related Tags: Tatoo Ya Asili, Tatoo Ya Asili song, Tatoo Ya Asili MP3 song, Tatoo Ya Asili MP3, download Tatoo Ya Asili song, Tatoo Ya Asili song, The Verteller Tatoo Ya Asili song, Tatoo Ya Asili song by Dizasta Vina, Tatoo Ya Asili song download, download Tatoo Ya Asili MP3 song
Comments (27)
New Comments(27)
Ngoo Chata
Horseman17
akili kubwa sana
petroma
nakubaliiiii sana brother your the best
Ibrahimu Ibrahimu sayd
mbona unaakiri ivo
Ibrahimu Ibrahimu sayd
bro we ni wawapi
Quinton Official
hahahaha balaa
Corrosive Acid
He's abnormal man dizasta vina ✊
Amidu Makunda
yaaaaan unaskiliza wimbo had unapata hisia flan hv duuu
Amidu Makunda
huyuuuu kijnaaaa anaweza sanaaaaa
yassini meja
duuuh kam move
Erick Humbo
broh we ni nomaaa
Qucho 8xj4l
mtunzi
sijawah kucomment boomplay and now naacha wino wangu hapa for respect of this man[0x1f63b]