![Chagua Leo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/21/65dfa414994444a7a9dbfc0b10d26f21_464_464.jpg)
Chagua Leo Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Je tunayotenda
yanampendeza Mungu?
Maisha yetu tunayo ishi
Yanampendeza Mungu?
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu
Enyi wakristo tabia zetu
Zinampendeza Mungu?
Kwetu vijana hata wazee
Zinampendeza Mungu?
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu
Gharama ya ukristo
Ni kujikana nafsi
Na kumfuata Bwana Yesu
Awe mfano wako
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu
Enyi wakristo tabia zetu
Zinampendeza Mungu?
Kwetu vijana hata wazee
Zinampendeza Mungu?
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu (chagua)
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu
Enyi wakristo tabia zetu
Zinampendeza Mungu?
Kwetu vijana hata wazee
Zinampendeza Mungu?
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu
Chagua leo kuishi
Maisha matakatifu