Maji ya Uzima
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
MAJI YA UZIMA
Mambo ya dunia yakisonga
ni wapi nipate faraja,
Na nikisumbuka na maisha
Ni wapi pa kukimbilia?
Katika kisima Cha Yakobo Leo hii
Ameketi masihi
Akisubiria kutoa faraja.
Anayetaka na aje Sasa
Na achote katika kisima hiki
see lyrics >>Similar Songs
More from Dodoma Adventist Chorus
Listen to Dodoma Adventist Chorus Maji ya Uzima MP3 song. Maji ya Uzima song from album Maji ya Uzima is released in 2023. The duration of song is 00:04:58. The song is sung by Dodoma Adventist Chorus.
Related Tags: Maji ya Uzima, Maji ya Uzima song, Maji ya Uzima MP3 song, Maji ya Uzima MP3, download Maji ya Uzima song, Maji ya Uzima song, Maji ya Uzima Maji ya Uzima song, Maji ya Uzima song by Dodoma Adventist Chorus, Maji ya Uzima song download, download Maji ya Uzima MP3 song