Kuzaliwa kwake Yesu Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Oh! Katika hori la ng'ombe
Amezaliwa masihi
Kule Bethlehemu Mfalme wa Ulimwengu
Kwa utukufu malaika wanaimba nyimbo
Kumuabudu
Uumbaji washangilia
Mwokozi amezaliwa
Lakini cha kushangaza
Ulimwengu haukumtambua
Alikuja kwake wala walio wake
Hawakumpokea
Halelujah (kuzaliwa kwake Yesu)
Halelujah(Kuna maana gani)
Halelujah(katika maisha yetu) Halelujah
Zaidi ya kusherehekea
Ingekuwa heri umkubali Yesu
Azaliwe, Moyoni mwako