- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Maisha haya ni safari, yahitaji moyo
Yatupasa kujikabidhi kwake Bwana wa upendo
Ndipo maisha haya, yatakuwa salama
Tutakapojiwe kwa Yesu wa maisha
Vikwazo vingi safarini vyaumiza moyo
Wengi twapoteza imani kwake Bwana wa upendo
Huwezi kwendelea, na hofu ya maisha
Pasipokujiweka kwa Yesu wa maisha
Tembea na Yesu, ongea na yeye tu, utakuwa salama kwa Yesu wa maisha
Tembeana Yesu, ongeana yeye tu, utakuwa salama kwa Yesu wa maisha
see lyrics >>Similar Songs
More from Advent Hope
Listen to Advent Hope Maisha MP3 song. Maisha song from album A Great Friend is released in 2019. The duration of song is 00:02:30. The song is sung by Advent Hope.
Related Tags: Maisha, Maisha song, Maisha MP3 song, Maisha MP3, download Maisha song, Maisha song, A Great Friend Maisha song, Maisha song by Advent Hope, Maisha song download, download Maisha MP3 song