![Mwanadamu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/21/65dfa414994444a7a9dbfc0b10d26f21_464_464.jpg)
Mwanadamu Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
Lyrics
Mwanadamu umechoshwa nazo Dhambi
Zimekuwa ni mzigo mzito sana
Hujui popote penye kimbilio
Lipo tumaini baraka milele
Mwanadamu umechoshwa nazo Dhambi
Zimekuwa ni mzigo mzito sana
Hujui popote penye kimbilio
Lipo tumaini baraka milele
Yesu alituachia yule Roho
Mtakatifu awe kiongozi wetu
Na tumkubali roho na tubatizwe
Atakuwa kiongozi maishani
Ubatizo ni mmoja Mungu mmoja
Nae roho mtakatifu kiongozi
Na tumkubali roho na tubatizwe
Atakuwa kiongozi maishani
Atakuwa kiongozj maishani
Atakuwa kiongozi maishani