
Njiani Huniongoza
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Njiani huniongoza, Yesu wangu Mwokozi, Rehema hatapunguza, milele kiongozi, Ina raha kwandamana, duniani daima, Nijaposumbuka sana, yeye hutenda vyema.
Njiani huniongoza, hupunguza matata, Nikiugua hupoza, na njaa ninashiba, Lichokapo guu langu, nguvu zikapungua, Jiwe lilo mbele yangu, hunibubujikia.
Njiani huiongoza, kwa pendo lililo kuu, Mwisho atanituliza, kwake Baba yangu juu, Nikivikwa kutokufa, nikae na Mwokozi, Nitamsifu sana sifa, kweli ni kiongozi.
Similar Songs
More from Taji
Listen to Taji Njiani Huniongoza MP3 song. Njiani Huniongoza song from album Hymns Ep1 is released in 2024. The duration of song is 00:03:03. The song is sung by Taji.
Related Tags: Njiani Huniongoza, Njiani Huniongoza song, Njiani Huniongoza MP3 song, Njiani Huniongoza MP3, download Njiani Huniongoza song, Njiani Huniongoza song, Hymns Ep1 Njiani Huniongoza song, Njiani Huniongoza song by Taji, Njiani Huniongoza song download, download Njiani Huniongoza MP3 song