Hapana Giza
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mchana hauishi, mjini mzuri,
Mji hautapita, na hapana giza.
Machozi yatafutwa, kifo hakuna kule,
Hawahesabu siku, na hapana giza.
Milango ni ya lulu, mjini mzuri,
Dhahabu njia zake, na hapana giza.
Milango haifungwi, mjini mzuri,
Mto ni wa uzima, na hapana giza.
see lyrics >>
Similar Songs
More from Taji
Listen to Taji Hapana Giza MP3 song. Hapana Giza song from album Hymns Ep1 is released in 2024. The duration of song is 00:03:16. The song is sung by Taji.
Related Tags: Hapana Giza, Hapana Giza song, Hapana Giza MP3 song, Hapana Giza MP3, download Hapana Giza song, Hapana Giza song, Hymns Ep1 Hapana Giza song, Hapana Giza song by Taji, Hapana Giza song download, download Hapana Giza MP3 song