
Mji mpya Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Natazama! Mji mpya
Ukishuka toka juu
Ulopambwa kama bibi harusi
Waliotayari kumwona BWANA
Waliozishika amri zake
Wataishi naye BWANA
Natamani niwepo
Natamani niwepo
Oh! Wateule wa BWANA
watapaa naye juu
Wakiwa ni washindi
Waloshinda dhambi
Wateule wa BWANA
watapaa naye juu
Wakiwa ni washindi
Waloshinda dhambi
Ewe ndugu!
Utayari kumlaki BWANA Yesu!?
Katika siku ile ajapo
Waliokufa katika BWANA
Watafufuliwa, watabadilishwa
Watapaa naye Yesu
Natamani niwepo
Natamani niwepo
Oh! Wateule wa BWANA
watapaa naye juu
Wakiwa ni washindi
Waloshinda dhambi
Wateule wa BWANA
watapaa naye juu,
Wakiwa ni washindi
Waloshinda dhambi
Na hapana usiki
Na hapana machozi
Nifuraha ya milele nyumbani mwa Baba
Nifuraha ya milele nyumbani mwa Baba