Anakuja ft. Barett Mapunda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
ANAKUJA Lyrics
Anakuja kutuchukua(aaah) mbinguni (mbinguni)
Aaaah aaah uuh
Leo tunaishi lakini kesho hatupo
Maisha haya mafupi (maisha mafupi)
Kifo ni hakika (ni cha hakika)
Lakini lipo tumaini
(Ini katika Yesu)
Aliye mwamba na kiongozi wetu
Anakuja (anakuja) kuchukua mbinguni (mbinguni)
Dalili zinaonyesha kuja kwake kaaribu na tutafufuliwa (fufuliwa) na tutapaa aaah naee eeeh
Natuta ishi milele mbinguni oooh ooh
Na tutaishi milele mbingunii iiih
Anakuja kutuchukua (anakuja) mbinguni (mbinguuni) Dalili zinaonyesha kuja kwake karibu
Na tutafufuliwa(tafufuliwa) tutapaa naye eeh eeh