![Bwana Mungu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/08/19b48b33e53e482887176b97969b8bf8_464_464.jpg)
Bwana Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Bwana Mungu - Martha Mwaipaja
...
Bwana mungu nashanga kabisa
nikitazama jinsi iliivyo
nyota ngurumo vitu vingi vyote
viumbwavyo kwa uweza wako×2
Rohoni yangu ikuimbie Baba
jinsi wewe ulivyo mkuu×4
Nikitembea kote dunia
Ndege huimba nawasikia
milima hupendeza macho Sana
upepo nao nafrahia×2
Roho yangu naikuimbie
jinsi wewe ulivyo mku uuu×4
Nikikumbka Kama wewe Mungu
ulivyo mpereka mwanao
Afe azichukue dhambi zetu
kuyatambua ni vigumu munoo
Roho yangu ikuimbie Baba
Jinsi wewe ulivyo mku
roho yangu ikuimbie masia
jinsi wewe ulivyo mku
Yesu mwokozi utakapo rudiii
kunichukua Mimi kwenda mbinguni
nitashukuru na kuomba milele
wote wajue jinsi ulivyo
roho yangu ikuimbie Baba
jinsi wewe ulivyo mku
roho yangu ikuimbie yesu
jinsi wewe ulivyo mku uuu
roho yangu naikuimbie
jinsi wewe ulivyo mku
roho naikuimbie
jinsi wewe ulivyo mku uuu
sing by Martha mwaipaja
Lyrics by Tiffah D