![Hayawe Hayawe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/17/1267ea7c984543068a782549ea89ccc7_464_464.jpg)
Hayawe Hayawe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Hayawe Hayawe - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow 254790511905
hangirema hoye hangirema
hayawe hayawe haya na maringo yako
hayawe hayawe haya na kiburi chako
hayawe hayawe haya na umbea wako
hayawe hayawe haya na maringo yako
hayawe hayawe haya na kiburi chako
hayawe hayawe haya na umbea wako
*****verse1******
wana heri wale wote
wapelekao habari nja
na midomo yao
inatamka maneno mema
unataka maisha na kuona siku njema
zuia ulimi wako
jifunze kutenda mema
wana heri wale wote wapelekao habari njema
na midomo yao
inatamka maneno mema
unataka maisha na kuona siku njema
zuia ulimi wako
jifunze kutenda mema
*****chorus*****
hayawe hayawe haya na maringo yako
hayawe hayawe haya na kiburi chako
hayawe hayawe haya na umbea wako
hayawe hayawe haya na maringo yako
hayawe hayawe haya na kiburi chako
hayawe hayawe haya na umbea wako
*****verse2******
midomo ya mchongezi ni sawa dondandugu
kunyamaza haliwezi
linazalisha uchungu
lina matatizo mengi
linagombanisha ndugu
halina mwisho wa mwezi
kila siku ni majungu
kulibeba huliwezi
ni sawa na nungunungu
********chorus ********
hayawe hayawe haya na maringo yako
hayawe hayawe haya na kiburi chako
hayawe hayawe haya na umbea wako
hayawe hayawe haya na maringo yako
hayawe hayawe haya na kiburi chako
hayawe hayawe haya na umbea wako
*******verse3********
midomo ya mwenye hekima
hutamka maarifa
bali vinywa vya wapumbavu
kutwa kucha upumbavu
ni heri kusikiliza kelele za mwenye hekima
kuliko kusikia wimbo wao wapumbavu
(singing in Vernacular)
******chorus*****
hayawe hayawe haya na maringo yako
hayawe hayawe haya na kiburi chako
hayawe hayawe haya na umbea wako
hayawe hayawe haya na maringo yako
hayawe hayawe haya na kiburi chako
hayawe hayawe haya na umbea wako
*****verse4-Oliva Wema******
mmmmmh
haya
hangirema hoye hangirema
(singing in Vernacular )
ataabishaye nyumba yake huyo hurithi upepo
mwenye hekima naye hutawala
mpumbavu naye huyo
atakuwa mtumwa
hangirema
hangirema hoyee hangirema-aaaaah
lyric sync by Phellow 254790511905