![Niangalieni Mimi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/17/9124fc253e63478090afd730ea2d69c7_464_464.jpg)
Niangalieni Mimi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Niangalieni Mimi - Rose Muhando
...
lyric sync Phellow Mmbuni 254790511905
Hallelujah
hii nayo ni njema sana
inapendeza pia
hoo Hallelujah
ni nani huyo atokaye Edomu
anayepanda yeye kutoka Bosra?
Yeye aliyevaa mavazi ya kifahari
anayekwenda katika uweza wa nguvu zake
ni nani huyo atokaye Edomu
anayepanda yeye kutoka Bosra?
yeye aliyevaa mavazi ya kifahari
anayekwenda katika uweza wa nguvu zake yeyeyeeee
mwambie binti sayuni
tazama kule(heee mamamamamaaaa)
tazama wokovu wako sasa unakujia
(tazama dhawabu)
tazama dhawabu yake
i pamoja nawe(mamaaa)
na malipo yake yote yako mbele zake
(yeye aliyefanya mambo ya kutisha)
aliyefanya mambo
mambo ya kutisha(mamaa)
usiyoyatazamia milima iliyumba
(mwambie jeee
mwambie binti sayuni
mwambie binti yule
tazama kule
(tazamaaa
tazama wokovu wako sasa unakujia
tazama dhawabu)
tazama dhawabu yake i pamoja nawe
(tazama dhawabu ya Bwanaaa)
na malipo yake yote yako mbele zake
yeye aliyefanya
aliyefanya
mambo mambo ya kutisha
usiyoyatazamia milima iliyumba
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
mimi nalikujaaaa kwenu-uuuu
ninyi mpate uzimaaaa
nitafuteni bure ah mimi
nanena mambo ya adili mkaokolewe
leteni mizigo yenu kwangu
nanena mambo ya adili mkaokolewe
enyi eeeeh mkaokolewe
enyi eeeeh mkasamehewe eeeeh
mimi ni Mungu
hakuna mwingine
niangalieni mimi mkaokolewe
mimi wa kwanza
Alfa na Omega
niangalieni mimi mkaokolewe
mimi nisemaye
nisemaye
kwa haki nisemaye
hodari wa kuokoa
mimi nisemaye
nisemaye
kwa haki nisemaye
hodari wa kuokoa
niangalieni mimi mkaokolewe
(Bwana asema nitazameni)
niangalieni mimi mkaokolewe
(mimi wa kwanza tena wa mwisho)
niangalieni mimi mkaokolewe
(dunia nzima inajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe
(manabii wote wanajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe
(hata *** anajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe
mimi ndimi Mungu niponyaye)
niangalieni mimi mkaokolewe
(mimi ndimi Mungu niokoaye)
niangalieni mimi mkaokolewe
(ndimi niliyemwokoa Rahabu)
niangalieni mimi mkaokolewe
(mimi niliyepasua na mwamba)
niangalieni mimi mkaokolewe
(mimi nilipondaponda nyoka) niangalieni mimi mkaokolewe
(hata pharaoh anajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe
(ncha zote za dunia natawala)
niangalieni mimi mkaokolewe (
ncha zote za dunia natawala)
niangalieni mimi mkaokolewe
(wanyama wa kondeni wanajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe (hata bahari inajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe (
wadudu watambaao wanajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe
(leteni magonjwa yote kwangu)
niangalieni mimi mkaokolewe (
leteni mizigo ya dhambi zote kwangu)
niangalieni mimi mkaokolewe (
mimi wa kwanza tena wa mwisho)
niangalieni mimi mkaokolewe (
zaidi yangu hakuna mwingine)
niangalieni mimi mkaokolewe
(zaidi yangu hakuna mwingine)
niangalieni mimi mkaokolewe
(milele yote mimi natawala)
niangalieni mimi mkaokolewe
(miisho ya dunia inajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe
(dunia nzima nayo inajua hilo)
niangalieni mimi mkaokolewe
(haiyayayayayayayayyayyayayayayayyaaaa)
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
... ...piano... ... (
niangalieni mimi mkaokolewe Bwana anasema)
niangalieni mimi mkaokolewe (
halelluya) niangalieni mimi mkaokolewe
niangalieni mimi mkaokolewe (nitazameni watoto wangu)
niangalieni mimi mkaokolewe (matasa wote njooni kwangu)
niangalieni mimi mkaokolewe (viwete wote njoni kwangu)
niangalieni mimi mkaokolewe
(ah! mimi ndimi Mungu niponyaye)
niangalieni mimi mkaokolewe
(mimi ndimi Mungu wa Yakobo)
niangalieni mimi mkaokolewe
(ni baba wa Ibrahimu tangia mwanzo)
niangalieni mimi mkaokolewe
( ni baba wa Isaka tangu mwanzo)
niangalieni mimi mkaokolewe
(Falme zote za dunia watambue)
niangalieni mimi mkaokolewe
(wakuu wote wa dunia watambue)
niangalieni mimi mkaokolewe
(utukufu wangu simupi mwingine)
niangalieni mimi mkaokolewe
(mamalaka na enzi ni vyangu mimi)
niangalieni mimi mkaokolewe
(utawala wote namiliki mimi)
lyric sync by Phellow 254790511905