Yesu Wetu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Huyu Yesu ni wetu,
Ametuletea wokovu,
Mema ya nchi ni Yetu,
Sisi tulio mwamini,
Tutakula na kushiba,
Sisi na watoto wetu,
Huyu Yesu ni wetu,
Ametuletea wokovu,
Mema ya nchi ni Yetu,
Sisi tulio mwamini,
Tutakula na kushiba,
Sisi na watoto wetu,
Haiya!
Kumbe majumba ni Yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Magari mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mema ya nchi ni Yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Nasema usiwape mbwa chakula cha watoto wako,
Nasema usiwape mbwa chakula cha watoto wako,
Chonde usiwape mbwa chakula cha watoto wako,
Jamani usimpe kahaba urithi wa watoto wako,
Usimpe adui nafasi kumiliki mahali pako,
Mbwa ni mbwa hajui thamani ya ulicho nacho,
Nasema mbwa hajui thamani ya watoto wako,
Jamani mbwa hajui gharama ya ulicho nacho,
Milele mbwa hajui thamani ya maisha yako,
Mkane mbwa hajui thamani ya ulicho nacho,
Milele na milele mbwa makobo ndiyo saizi yake
Huyu Yesu ni wetu,
Ametuletea wokovu,
Mema ya nchi ni Yetu,
Sisi tulio mwamini,
Tutakula na kushiba,
Sisi na watoto wetu,
Huyu Yesu ni wetu,
Ametuletea wokovu,
Mema ya nchi ni Yetu,
Sisi tulio mwamini,
Tutakula na kushiba,
Sisi na watoto wetu,
Kumbe majumba ni Yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Magari mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mema ya nchi ni Yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Huyu Yesu ni wetu,
Ametuletea wokovu,
Mema ya nchi ni Yetu,
Sisi tulio mwamini,
Tutakula na kushiba,
Sisi na watoto wetu,
Kumbe majumba ni Yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Magari mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mema ya nchi ni Yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)