![Nauliza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/20/d2a94983d91d45588705f6b138c37189_464_464.jpg)
Nauliza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Nauliza - B2K Mnyama
...
pokeo kwaangu sa kwann ulitaka nkupende,
nmekuja na mboga yangu nimeja kisu umekata na wembe
au tatizo kabila mihnyalu stakiwi nipende...yaani umekua rojorojo wewa wote ka mtu alambe
*aah*
basi ka mafungu nami nipe la kwangu
unje ukojoe ulale kwangu
we pengua pengua ibaki nafasi yaangu
kwao bima we ni fungu langu
we kama uwezi nimpende naani..ah..je aya mapenzi ayana dhamaani ..ah..
nakam uwezi nambie tuendaani .ah..
au ndo unitaki,,,nauliza,,,unipendi ata robo,,,,nauliza,,,sa ntakwenda wapi,,,,nauliza,,,
unitaki ata robo,,nauliza,,,x2
**beat**
nandika meseji nafuta we kwako iko poa..
kila kitu nacho kuuliza unanijoboa,,,yani kama
ulijua mih ntajuta unavyo nzodoa wewe eeiyy...
huna shukurani umekua punda unanipiga mateke mwenyewe...
nakupa salamu nanyuti unasema nakupa ya nn
kumbuka mapenzi so vita hujui nimekupendea nn,,,tukimalizaga show unaesefu ndo vitu nakupendea mm.....
kumbuka mih kupa kisasa vibusu naeletea..
we kama uwezi nimpende naani....aah..je mapenzi hayanaga dhamani aah....nakama uwezi
nambie atuendani...aah..au ndo unitaki...nauliza...hunipendi ata robo..nauliza....sa ntakwenda wapi....nauliza...
unitaki ata robo....nauliza...x2
starbeat records
written by #shaniz