Sio Sawa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Sio Sawa - B2K Mnyama
...
Aah!! starbig boooy aaah!!
Hivi ulkuwa wewe sambo huko mwanzo ulinidekeza
Umekuwa Mwewe umeota hizo mbawa umeteleza
Ukiwa mjanja wewe umenivuta umenibana umenikoleza
Nikuwaze wewe ah kumbe umepanga kunitelekeza mie
Ulionekana unahasira nagadhabu hatujagombana ningefanyaje
Na kumbe unanitafutia sababu ya kunikana unimwage nitaonekana kama mtoto ukisema nilipize madharau
Zingine nichangamoto muda ukipita unasahau.
CHORUS
Sio sawa...siosawa Sio sawa....siosawa
Nikisema staki kukupenda mwenzako ushanichota sielewi ii
Yaani iwe mapema nionyeshe nimesarenda wengine hawachelewi
Yaani nikuwache kiroho safi mapenzi mihadarati
Nitakuonea wapi unapokwenda ikiwa safi
Unaonekana unaehasira na gadhabu hatujagombana ningefanyaje
Na kumbe unanitafutia sababu ya kunikanya nimwage
Nitaonekana kama mtoto ukisema lipize madharau
Sengine ni changamoto muda ukipita unasababu
Sio sawa *8