![Kipi Bora ft. Mtafya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/24/3e11793073f74cb2bdd00e7d677ce464_464_464.jpg)
Kipi Bora ft. Mtafya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kipi Bora ft. Mtafya - B2K Mnyama
...
B2K ft MTAFYA kipi Bora
Kama unapenda hela we tafuta
Dogo unapenda mademu we utakufa
Kama unapenda hela we tafuta
Dogo unapenda mademu we utakufa
Skuizi kidigital mwenzako nalelewa
Napiga shoo hatari mademu wananielewa
We mshamba wa makambako
Shtuka unachelewa
Kuiba wake za wenzako chunga utaolewa
Oooh!!!! ajali kazini bhn pweza halali njaa
Mi mtoto wa makambako na natamba dar
Nabishana nawe marioo kwa nn
We na mademu wanaodanga tofauti nn
Tatizo unatumia nguvu, mwenzako natumia akili yaaaani uwezo wa kufikir
We mtoto hutaki kazi ngumu
Unapenda vitamu
Unakwepa majukumu utaolewa
Hata kama ukifumaniwa ( usiogope )
Penda muke wa mutu ( usiogope )
Akipita demu mkali ( usiogope )
Ruksa kutamania ( usiogope )
Onga hela ya kubeba nzege ( usiogope )
Usitegemee cha mtu ( usiogope )
Chunga usiwe mume kwake ( usiogope )
Penda kama mfuko unaruhusu (usiogope)
Kama unapenda hela we tafuta
Dogo unapenda mademu we utakufa
Kama unapenda hela we tafuta
Dogo unapenda mademu we utakufa
Kwanza mwenzako nikiwa sina pesa kabisa haisimami ( haisimami )
nimezoea kula kwa jasho ndo maana hatuendani ( hatuendani )
Hivi ww ni sungu sungu au mugambo
( mugambo )
Kwanza huna swaga vipi utapata hizi mambo ( hizi mambo )
Ndo maana sura mikorogo
munapaka na kuuza mipododo
Kwanza we bwana mudogo ukiniudhi
ntakupa mikong'oto
Bro umeanza ubabe
Jifunze kupeti peti
Na sura lako la kununa nuna ndo maana
hupati sketi
Tatizo unatumia nguvu mwenzako natumia akili yaaaani uwezo wa kufikiri
We mtoto hutaki kazi ngumu
Unapenda vitamu
Unakwepa majukumu utaelewa
Hata kama ukifumaniwa ( usiogope )
Unapenda muke wa mutu ( usiogope )
Akipita demu mkali ( usiogope )
Ruksa kutamania ( usiogope )
Onga hela ya kubeba nzege ( usiogope )
Usitegemee cha mtu ( usiogope ) Chunga usiwe mume bwege (usiogope )
Penda kama mfuko unaruhusu
( usiogope )
Kama unapenda hela we tafuta
Dogo unapenda mademu we utakufa
Kama unapenda hela we tafuta
Dogo unapenda mademu we utakufa