Mungu Kwetu Ni Kimbilio Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Mungu Kwetu Ni Kimbilio - Rose Muhando
...
song by Rose Muhando
Transcript by Phellow Aduvaga 254790511905
*****instruments *****
Zaburi Psalms 46:1-3
Mungu kwetu sisi
ni kimbilio na nguvu
msaada utakaoonekana wakati wa mateso
kwa hiyo hatutaogopa
ijapobadilika dunia
ijapotetemeka milima
moyoni mwa bahari
Mungu kwetu sisi
ni kimbilio na nguvu
msaada utakaoonekana
wakati wa mateso
kwa hiyo hatutaogopa
ijapobadilika dunia
ijapotetemeka milima
moyoni mwa bahari
maji yake
maji yake yajapovuma
na kuumuka
oh oh oh
ijapopepesuka milima
kwa kiburi chake
maji yake
maji yake yajapovuma
na kuumuka
ah aha aha
ijapopepesuka milima kwa kiburi chake
Zaburi Psalms 46:11
Halelluya
Halelluya
Bwana yu pamoja nasi
Mungu wa Yakobo
Mungu wa Yakobo
ni ngome yetu
Halelluya ah
Halelluya
Bwana yu pamoja nasi
Mungu wa Isiraeli
Mungu wa Yakobo
ni ngome yetu
******INSTRUMENTS*****
verse2
Zaburi Psalms 46:8,10
Njoni myatazame matendo makuu
ya Mungu
jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi
ohooo
acheni mjue
ya kuwa Mimi ndiye Mungu
nitakuzwa katika nchi na mataifa
njoni
myatazame matendo makuu ya Mungu
jinsi alivyofanya
ukiwa katika nchi
acheni mjue ya kuwa mimi
ndiye Mungu
nitakuzwa katika nchi na mataifa
*****chorus*****
maji yake
maji yake yajapovuma na kuumuka
oh oh oh oh
ijapopepesuka milima
kwa kiburi chake
maji yake
maji yake yajapovuma na kuumuka
eh eheeee
ijapopepesuka milima kwa kiburi chake
Halelluya
Halelluya Bwana yu pamoja nasi
Mungu wa Yakobo
Mungu wa Yakobo
ni ngome yetu
tuimbe wote Halelluya
Halelluya
Bwana yu pamoja nasi
Yule Mungu wa Ibrahimu
Mungu wa Yakobo ni ngome yetu
tuimbe Halelluya
Halelluya
Bwana yu pamoja nasi
Mungu yule wa Isaka
Mungu wa Yakobo ni ngome yetu
tuimbe wote Halelluya baba
Halelluya
Bwana yu pamoja nasi
ona Mungu wa Yakobo
Mungu wa Yakobo ni ngome yetu
tuimbe wote Halelluya baba
Halelluya
babaa
Bwana yu pamoja nasi
Yule Mungu wa Isiraeli
Mungu wa Yakobo
ni ngome yetu
yeye ni Bwana wa mabwana
Halelluya
baba
Bwana yu pamoja nasi
yuko Mungu wa Yakobo
Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
thanks for supporting Rose Muhando Ministry
lyrics synchronised by Phellow Aduvaga 254790511905