![Sema Nami](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/6E/EB/rBEehl2a7GqAdzC9AACV4wdYwj0369.jpg)
Sema Nami Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Sema Nami - Rose Muhando
...
uuuu yeleee mama yelee mama weeee yeleee
seeemaa nami sema . (4)
sema nami sema
Niko mbele zako sema baba
Seema baba sema Seema baba
Niko mbele zako
ulisema imekwisha imekwisha mateso hayatainukaa tenaa
ulisema imekwiiisha imeeekwisha magonjwa hayata simama tena ulisema imeekwiiisha imeekwiisha baba utumwa hautainuka tena ulisema imeekwiiisha imeekwiisha t mauti Haina nafasi tena
mbona magonjwa yametulemea taabu nayo imeongeza mateso nayo yamekuwa mzigo kwetu na wewe Mungu umeficha Uso wakooo kwanini Mungu umetupa kisogoo eeeh Mungu kwa nini wazima wa Amaniii geuka babaah ukatazame tena
useema baba
seeema na mimi
sema babaa
sema na mimi
sema baba
sema na mimi
sema nisikie
sema na mimi
Niko mbele zako
sema baba
sema na mimi