Vimba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Vimba - Maua Sama
...
Usiku hulali unaumia tena unawaza
Kukicha maswali na stress umejaza
Inaniumiza kukuona unaumia wewe Baba
Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa Mimi ni Star ndo unahofia labda nitakimbia
Nimeridhika mimi (aaaah aaah)
Na hali yako hiyo (aaaah aaah)
Nataka uvimbe Baby (aaaah aaah)
Mi ni wako pekee (aaaah aaah)
Vimba Vimba Vimba (kama unanipenda)
Vimba Vimba Vimba (Amini Unapendwa)
Vimba Vimba Vimba (Watu waoneshe)
Tambua Kipaji kanipa Maulana Ni karama
Unaponyong’onyea unaniumiza sana
Oooh Bwana
Tena unatetemeka (Tetee)
Ukiniona unasita, Kijasho kinakutoka (mmmh)
Wanipa Raha, si masikhara, Dhahiri nasema
Twende kwa Baba Mzee Sama
Tumalize Biashara
Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa Mimi ni Star Ndo unahofia labda nitakimbia (Yeeea yeiyaaeh)
Nimeridhika mimi
Na hali yako hiyo
Nataka uvimbe Baby
Mi ni wako pekee
Vimba Vimba Vimba (kama unanipenda)
Vimba Vimba Vimba (Amini Unapendwa)
Vimba Vimba Vimba (Watu waoneshe)