Nioneshe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nioneshe - Maua Sama
...
oooh beiby
ukinigusa nyang'anyang'a mwenzako
sijiwezi
mi kipofu napapasa juu yako
nahisi hakuna amani nisipokuona nyumbani
moyo unajawa tafarani
kwichi kwichi chumbani
haziishi kchwani
hasa pale ukiwa mbali nami
chochea kuni kwa kishindo jiko lako ni mimi
unipe jotojoto mpenz kwenye baridi
ntang'ang'ana nawe ntabaki nawe
ctokuacha mpweke
shika nshikilie usiniache mimi chuga wasiniteke
hunny mi kwako nazi mbata
ntafune unavyotaka
kiuno sindimba chakacha
serebuka unavyotaka heeey
nioneshe niweke tepetepe(nibonyebonye bebe)
nioneneshe niweke tepetepe