![Baba Jeni](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/19/55812e8699c5460bab204ab2a69a1158_464_464.jpg)
Baba Jeni Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Baba Jeni - Maua Sama
...
Hivi wee hufikiri hufikiri
Kuwa nawe siwezi kweli siwezi
Kukupa moyo Eti tuwe wawili wawili.
Hizo share siwezi, kwenye mapenzi Utaniumiza moyo
Kwanza unanionaje, Pisi kali yakwenda
Tena nina jina mimi, Nakuhifadhi unavimba unavimba
Tena we na mashemeji,
Akili kisoda aaah kisoda
Niwe nawe wa nini,
Hunifikishi kigoma
Baba Jeni Bye Bye
Bye Bye
Baba Jeni Bye Bye
Bye Bye
Kwako nilijikwaa kimapenzi nilikusitiri tu mwenzangu
Basi show ata ungeweza!
Ila nilituliza tu kamoyo kangu
Kebehi na gubu
Sina raha roho juu juu
Baba utaniua kibudu
Bora ni’disappear
Ey umesepa ndo nanona
Aloniteka amesoma
Master ya mapenzi sio Diploma ananipa mie
Tena we na mashemeji,
Akili kisoda aaah kisoda
Niwe nawe wa nini,
Hunifikishi kigoma
Baba Jeni Bye Bye
Bye Bye
Baba Jeni Bye Bye
Bye Bye