![Kiss Me](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/06/1396f7f7f82b479ab783009c770a6a6dH800W800_464_464.jpg)
Kiss Me Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Kiss Me - Maua Sama
...
Is another one...!
It's canibaer!!
Laazizi mi Mali yakoo,
siwezi kuwa mbali yako,
Naahidi mi ubavu wako
Usinikatili nipo chini yako
Kukupenda kwani shingapi?, nitalipa bili sikuachi,
hata kukuacha mi ntaanza na wap, nitalipa bili shng ngapi
so kiss me on my lips, my cheeks, my forehead
touch me on my neck, my chest and my hand
babe give me lolololove
your love ,
babe give lolololove your love .. . ...
babe give me lolololove you love,
babe give me lolololove your love........
nakama ni barid likinipiga vibaya
penzi lako linantosha daring,
mwenzenu nafahid