Pambe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Pambe - Maua Sama
...
samaa....
wanatamani unitose baby wapate kunisemagaa,
nami nilivyo ujuzi shoo kama zagazaga,
usemi koloni koloni ndo utavyonichanganyaa, ukanipanga huko Sokoni kama fungu la nyanya,
ujue mwenzio mwenzio, umeshanishika masikio,
kipenda roho penda roho,
kamatia babaa.
Kwangu moyo mbiombio achana nao viredio,
furaha ikageuke kilio,
zingatia babaaa...
nakamata chaga kasheshe Gonga nami tucheze makida kede changanya mazaga
pambee mambo ni pambe wacha nikugandee pambee pambee yoo pambee pambee yoo pambee pambee yoo pambee pambee yoo
nusu Yangu unayo wewe
usiondoke nikamilishe wasiniibe mapedeshee
wakucheke ujidharirishe..
ooh Baby umeni mada kwako nimekaa jenga Kibanda ndandaa
pambee mambo ni pambe wacha nikugandee pambee pambee yoo pambee pambee yoo pambee pambee yoo pambee pambee yoo.