Iokote ft. Hanstone Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Hey heey…. Oh uuuh yeah
Oh baby, niruhusu tufanane
Huku nikiamini one day, utanioa aah
Baby nikikuona nabanwa na haja
Baby nakuwaga kitutu ng’ang’a
Tell me nikipita kupa mawazo
Ooh baby kati nakutunuku mia mia
Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi usigande
Kama ruba nigande
Tuwe wote eeh
Aah come baby come bae
Msumali kwa nyundo nigonge
Ohh Monday to Sunday
I love you
Mmmh oh basii (lokote
Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha mori nachechemea
Oh yeaaahh… Baby … baby
Ukitoka kuoga nitengeee ya moto moto (aah)
Tinga moka kitenge totoke mtoko (aaah!)
Boda kwa boda tutembee (Chocho kwa choko)
Tena nikichoka nibebe (me kwako mtoto)
Aiye eh Rafudhi ya Pemba rangirangi (hai)
Nywele kihindi chambi chambi (nai)
Cheza rafu kona bambii, Mpoko mpoko
Heeeii Refa katupa penatii (ahaa eeh)
Mpira ushawekwa katiiii (aahh eeh)
Nahitaji magoli kwa chenga zako
Piga shuti nikudakie
Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi zigande
Kama ruba nikugande
Tuwe woteee (eeh)
Uhuu yeeeeh
Aah come baby come baby
Msumali kwa nyundo nikugongee
Ohh Monday to Sunday
I love you
Mmmh oh basii (lokote)
Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha mori nachechemea
Oh yeaaahh…
Baby … baby
--- www.LRCgenerator.com ---