![Baba Jeni (Remix) ft. Nay Wa Mitego](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/10/8c65433abec740c8a8f69c7953959181_464_464.jpg)
Baba Jeni (Remix) ft. Nay Wa Mitego Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Baba Jeni (Remix) ft. Nay Wa Mitego - Maua Sama
...
Hivi wewe hufikiri hufikiri
Kuwa nawe siwezi, kweli siwezi
Kukupa moyo
Eti tuwe wawili wawili
Hizo share siwezi
Kwenye mapenzi utaniumiza moyo
Kwanza unanionaje pisi kali ya kwenda
Tena nina jina mimfhi
Nakuhifadhi unavimba, unavimba
Tena we na mashemeji
Akili kisoda aah kisoda
Niwe nawe wa nini
Hunifikishi Kigoma
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Kwako nilijikwaa