![Wivu ft. Aslay](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/27/fd916e5f10f94223a9b26f3e111c2aff.jpg)
Wivu ft. Aslay Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Wivu ft. Aslay - Maua Sama
...
Aah
Vimambo vyangu natupa kule eeh
Sineng’eneki nikafa bure eh
Kwako ni mfu, msukule eh
Kwa babe yake piga kelele weeh
Mi hali yangu mbona shwari (babe wee)
Nipo jiko nasonga ugali uje ule (babe wee)
Roho yangu safi mungu kanipa ninachotaka
Kwa wakati na enjoy
Sitaki kuwa mswati nimeridhika
Michepuko na mwendo kasi bai bai
Mpaka naunguza mboga
Hayo maneno yako, yalivyokuwa matamu
Nahisi kuwa muoga, mana nina wivu
Na mi ushanishika patamu
Wanajua tunavyopendana
Mi na wee, wanaona wivu
Ah tunavyopendana
Wanajua tunavyopendana
Mi na wee, wanaona wivu
Ah tunavyopendana
Mmmh, wanajua
Nilivyoshibana nawe
Ndo maana wanaona wivu
tunavyopendana oooh ooh ooh
Wanajua tunavyopendana
Mi na wee, wanaona wivu
tunavyopendana
Ntaafuga kijini nikuroge, usitoke yani
Uwe na mimi tu ndani
Uwe na mimi mwandani
Aah iii wewewee
Nishakolea penzi, me nipo mahabani
Sipingi sibishani
We ndo wa kwangu mimi
Nielewee…
Uzuri we utaki pochi, hutaki noti
Na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti
Benzema messi, pasi kwa pasi
Mi na wewe
Mpaka naunguza mboga
Hayo maneno yako, yalivyokuwa matamu
Nahisi kuwa muoga, mana nina wivu
Na mi ushanishika patamu
Wanajua tunavyopendana
Mi na wee, wanaona wivu
Ah tunavyopendana
Wanajua tunavyopendana
Mi na wee, wanaona wivu
Ah tunavyopendana
Mmmh, wanajua
Nilivyoshibana nawe
Ndo maana wanaona wivu
tunavyopendana oooh ooh ooh
Wanajua tunavyopendana
Mi na wee, wanaona wivu
tunavyopendana
Ooooh tunavyopendana aaaaah aaaya ya ooooh