Upo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Upo - Benedict Fanuel
...
Siwezi fanya kama vile sioni kwa kinachoendelea Hata kwenye za usoni we bado unasogea Siwezi fanya kama vile sioni kwa kinachoendelea Hata kwenye siku za usoni we bado unatawala We upo Baba upo We upo, unatawala We upo Bado upo We upo ooh Unatawala aah! We upo Baba upo We upo ooh! unatawala We upo Bado upo We upo unatawala aah! Wewe ndo ulikuwepo tangu hapo mwanzo wa dunia Hata leo upo na bado sisi tunakuinua Ndiwe unayeweza fanya ukaishangaza hata dunia Na kwa matendo yako wala hakuna asiyejua Uzima wa neno lako tungeupata kwa nani? Ukuu wa jina lako usio na kifani Uzuri wa pendo lako ooh! tungeupata kwa nani? Uweza nguvu zako oh! Bwana Natumai wee upo, Baba upo We upo unatawala Oh Yesu upo (We upo, bado upo) We upo oh (we upo unatawala) Huzuiwi kwa majira, unaishi milele Mmh! (we upo ooh! unatawala) Eeh Yesu upo ooh (we upo bado upo) We upo ooh! unatawala ah Mmmh! Nanananana We upo ooh! "Mmh!"