Simple Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Simple - Benedict Fanuel
...
Iye yeeh Mmh! Aah iyaah (extraordinary music) Nara Ooh uwo Iye iye Haikuwa simple, simple kama nilivyodhania Ama kufikiria , Baba wee! Ila hapa leo nipo (nipo) uhai umenipatia Yani najivunia kuwa nawe Maana sio rahisi hata kidogo Umenipa neema, hujanipaga hata kisogo Wanisikiliza, hujanitupa hujaniacha Waniongelesha , nikikuita kwa mara moja we ndo unaitika Simple simple wala sio rahisi Ila ni yako neema Baba wee Haikuwa simple simple kama nilivyodhania, ama kufikiria Baba wee eeh iyee eh! Na akili yangu iligoma, tena bila wee ningekwama Haikuwa simple, sio simple mama maama Haikuwa simple oooh hee! (simple simple simple) Wala si rahisi (simple simple simple) Ooh haikuwa simple ooh! Eeiyeeh (Simple simple simple) Wouwouwooh! (Simple simple simple) Aih nana nana Kila nikipiga goti naona wema wako Vile unanipenda umenivuta kwako Kwa pendo lako la dhati we ndo ukaniokoa Ukanipe...Ukanipenda Eiye eeh! Kila nikipiga goti naona wema wako Wewe umenipenda tena umenilinda Chii! Na akili yangu iligoma, tena bila we ningekwama Haikuwa simple, sio simple mama mama Haikuwa simple ooh hee! Kufika hapa leo (Simple simple simple) Eeh! nah I just wanna thank you Lord It's not simple Ah! si rahisi (simple simple simple) Ooh uwo uwoooh! Mmmh! Haikuwa simple, simple mama mama mama Trust music Simple simple simple simple Eeh aah!