Cheza Rhumba Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2022
Lyrics
Wouwoo!
Na zui kombo na yo
Onanana nanana Olah!
Cheza rhumba ah! Yani tunacheza rhumba
Cheza rhumba kwa Yesu tunacheza rhumba wee!
Cheza rhumba, Yani tunacheza rhumba
We cheza rhumba kwa Yesu tunacheza rhumba
Toka nikujue umefanya mengi me nitambue
We ndo yangu shule
Darasani umeniweka niyajue
Baraka unagawa ni wewe
Amani unatoa ni wewe
Hata sasa niende kwa nani ambapo nitapata amani
Daima nitabaki na wewe
Umenipa furaha na amani moyoni
Rhumba
Yani tunacheza rhumba
Cheza rhumba
Kwa Yesu tunacheza rhumba eh!
Cheza rhumba
Yani tunacheza rhumba
We cheza rhumba
Kwa Yesu tunacheza rhumba
Mutoto ya Yese anacheza
Nguo zaanguka (anacheza)
Papaa Daudi anacheza
Nguo zachanika (anacheza)
Mimi sijui anachezaje
Jewe himenya achezante
Vile anaruka ruka (anhaa) huku anapiga kinubi
Utukufu unashuka (ahaah) kwa sauti za tarumbeta
Yeah!
Ooooh! Anachezaje!
Jewe himenya achezante
Na bolingo na yo Nzambé
Na makasi na ngai
Uwooh iyeyeeh! Oh mi nitakusifu wewe eeeh iye iyeyee
Rhumba
Yani tunacheza rhumba (we cheza cheza rumba)
Cheza rhumba
Kwa Yesu tunacheza rumba eh! (Cheza cheza rumba)
Cheza rhumba
Yani tunacheza rhumba (Cheza cheza rumba aaaah)
We cheza rumba
Kwa Yesu tunacheza rumba
Tunacheza rumba aaah!
Tunacheza rumba (ahee) tunacheza rumba aah ( Mmh aheeh)
Ewaah!
Ah!
Rhumba ya Yesu
Dance ya Mulokozi
Trust music
Papaa Benanto
Ndani ya extraordinaire music
Niver
Hahahahah
Yah!