Sababu Bado Naishi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Sababu Bado Naishi - Benedict Fanuel
...
Umenipatia uhai na pumzi ya bure
Ukanipa na sauti nami nakusifu
Umenipatia uhai na pumzi ya bure, ukanipa na sauti nami nakusifu uuh!
Sababu bado naishi, acha nikusifie
Sababu bado naishi
Acha nikuimbie
Sababu bado naishi
Acha nikusifie
Sababu bado naishi acha nikuimbie
Umenitendea mengi Baba, Sitoacha kukusifu
Umenitendea aah! Sitoacha kukuabudu
Umenitendea mengi kila kona
Sitoacha kukusifu
Umenitendea mengi mi nayaona, Sitoacha kukuabudu
Kwaajili yako na ukubwa wako
Nitaimba na wewe
Kwaajili yako na ukubwa wako, nitaishi na wewe
Kwaajili yako na ukubwa wako, nitakaa na wewe
Kwaajili yako na ukubwa wako, nitaishi na wewe
Nitaishi na wewe eeh!
Umenipa uwezo wa kuishi, acha nikusifie
Umenipa uwezo wa kuishi
Acha nikuimbie
Umenipa uwezo wa kuishi
Acha nikusifie
Umenipa uwezo wa kuishi, acha nikuimbie
Acha! acha, acha nikusifie
Acha acha aah!
Acha nikuimbie
Acha, acha, acha nikusifie
Acha, acha aah!
Acha nikuimbie
Kuna sababu bado inayofanya niimbe
Fanya niseme
Fanya nisifu uuuh ah!
Kuna sababu bado inayofanya niimbe
Fanya niseme, fanya nisifu uuh!
Kuna sababu bado inayofanya nitaje jina lako Yesu maishani mwangu uuh ah!
Sababu bado naishi leo ninakusifu
Sababu bado naishi, leo ninakuimbia aiyeeh!
Wouwouwouwooh!
Acha nikusifu umenipa uwezo wa kuishi
Wouwo uwouwooh!
Acha nikuimbie
Acha nikusifu eeh Mungu wangu
Umenipa uwezo wa kuishi (uwezo wa kuishi)
Acha nikusifie (acha nikusifu)
Umenipa uwezo wa kuishi
Acha nikuimbie
Umenipa uwezo wa kuishi (ouwooh)
Acha nikusifie (acha nikusifu)
Umenipa uwezo wa kuishi (eiyeeh)
Acha nikuimbie
Acha, acha, acha nikusifie
Acha, acha aah! Acha nikuimbie
Acha! Acha
Acha nikusifie
Acha, acha aaah! Acha nikuimbie
Jesus power records