Umenishika Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Umenishika - Benedict Fanuel
...
Oiyeh! yeiyeh...uuh yeiyeh! aeh yaiya!
Nikipiga picha
nakosa hadhi ya kuwa na wewe
Umenishika
kwa mfano hakuna kama wewe
Kwako nimefika daima ntabaki na wewe
Umenisafisha kwa damu ukaniosha wewe
Ah sijaona wa kufanana nawe eeh
Kabisa sijaona wa kulingana nawe (uyeeh)
Umenishika, shika
kwa mkono wako sitodondoka
Tena umenivuta, vuta
kwa kamba yako sitoanguka
Na tena umeniita, ita
kwa jina langu nikaitika
Na vile unanipenda, penda
Kwa upendo wako sitoondoka
Aeh aeh aeeh!
Na kwa pendo lako ulivyonishika
daima nitang'ang'ana
Kwa mkono wako umenikamata
siwezi hata kubishana (Ah...eeeh)
Unayofanya ni makubwa yote
Kama dalili za upendo nishazijua
Vitendawili tayari ushavitatua
Mimi nitang'ang'ana na wewe
Mimi nitakazana na wewe
Mimi nitang'ang'ana nanana
Maana sijaona
Sijaona wa kufanana nawe eeh
Kabisa sijaona wa kulingana nawe eeh
Umenishika, shika
kwa mkono wako sitodondoka
Tena umenivuta, vuta
kwa kamba yako sitoanguka
Ah tena umeniita, ita
kwa jina langu nikaitika
Na vile unanipenda, penda
Kwa upendo wako sitoondoka
Aeeh aeh aeh
Aeeh aeeh aeeh!
Yeah! haha
Yani Bwana umenishika shika
Eh Yesu umenikumbata wee
Umenipenda, umenipenda umenishika ah
Umenipenda, umenipenda umenishika ah