Fahari Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Fahari - Benedict Fanuel
...
Furaha yangu ni kuwa nawe
Maisha yangu yajengwe nawe
Uzima wangu huu napata kwako
Fahari yangu kuishi nawe eeh!
Naomba uniongoze
Kwa njia nikupendeze
Maisha uyatakase
Unisafishe
Naomba uniongoze kwa njia nikupendeze
Maisha uyatakase, Unisafishe!
Wewe furaha yangu
Furaha yangu
Furaha yangu uuh! Bwana
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahari yangu uh Bwana
Bwana fahari yangu ni kuwa na wewe
Bwana furaha yangu niwe na wewe
Bwana furaha yangu, niwe na wewe
Bwana furaha yangu kuwa na wewe
Niwe na wewe
Nawe ulisema ya kwamba
Furaha yako itakuja
Pale asubuhi itapofika
Nami hiyo ndo naingoja
Bwana we ulisema nikufuate wewe
Maana kwako wewe kuna uzima wa milele
Nawe Bwana umesema
Uzima wako ni wa milele
Kisha niwe nao uzima tele, iye iye iyeeh
Nipe nipe nipe, furaha yangu
Furaha yangu
Wewe! furaha yangu Bwana
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahari yangu uh Bwana
Fahari yangu ni wewe tu
Kuongozana na wewe
Kufanana na wewe
katika njia zangu zote
Unayeniongoza kuyajua mema
Kwenda sawa neno lako
Niongozwe na wewe
Umenitawala tawala Yesu
Nipe nipe nipe furaha yangu
Nipe nipe nipe furaha yangu
Nipe nipe nipe furaha yangu
Furaha yangu uuh Bwana
Fahari yangu
Fahari yangu (Ndiwe fahari yangu)
Fahari yangu (kujuana nawe Bwana)