Wewe tu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Wewe tu - Benedict Fanuel
...
Mmh...ayaya!
Ayayah
Ayayah mmh!
Hauzuiwi kwa majira eh! wala na muda Matendo yako unafanya ukiamua
Hauzuiwi kwa majira eeh! wala na muda Matendo yako unatenda aga ukiamua
Umetenda mengi kale, ulikuwepo pale
Tangu kwenye zama zile
Bwana tumekuona
Tulipopatwa na maswali uliyajibu dakitari
Ilipobadilika hali ukageuza kuwa shwari
Yani wala hukuenda mbali
Hata wakati wa hatari
Na mpaka sasa naimba (Aeeh ni wewe tu)
Yaani matendo yako ya ajabu
Aeeh ni wewe tu
Wee ukiamua unatenda (Aeeh ni wewe tu)
No one lah!
No one like you (aeeh ni wewe tu)
•••
Umenipenda sikatai, mi nakubali
Umenijaza na uhai, mi nafurahi
Hata wakati wa jua Bwana umekuwa nami
Hata wakati wa mvua
Bwana umeenda nami
Na yale nisiyoyajua ah, yaliniliza zamani
Ila wee Bwana ndo ukayajua
yale machozi usoni
Tena ukaja ukanifuta yale majonzi moyoni
Yani na mpaka sasa niko hai
Aeeh ni wewe tu
Yani matendo yako ya ajabu
Aeh ni wewe tu
We ukiamua unatenda (Aeeh ni wewe tu)
No one lah, no one like you
Ooh nana na nananaah
My Jesus eeh
Only you
Aeeh
You are my number one eeh!
My namba wanje
Ah! you are my number one
Onana nana nana nana.
•••