Imani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Imani - Benedict Fanuel
...
Mmmmmh!
Mmmh mmmh mmmh!
Mara moja mmmh! nikikuitaga unasikia
Nikingoja hata kwa kona unaitika
Chozi moja likidondoka unalifuta
Japo kidonda na yale makovu yatajapita
Eeh! Nilisemaga maneno
kwamba siwezi kupona
Nilishakosa amani nilipobanwa kwa kona
Nilishakataga tamaa hata ya kesho kuiona
Moyo ukahisi unazama
na jeraha halitopona
Kumbe we ndo Mungu wa amani
Na chozi langu uliliona
Na naimani, naimani nawe eeh
Nana nana nanana, eh naimani nawe eeh
Nina imani na wewe
Imani na wewe eeh
Nina imani na wewe
Imani na wewe eh
Na nna imani na wewe
Imani na wewe eeh
Nina imani na wewe
Imani na wewe
•••
Labda kesho ntapona
mi ntaonaga vile unanipenda
Imani komaa kwako naiweka
Mungu unanipenda
Siwezi kataa yako imani
kwangu unaijenga
Na majeraha yangu moyoni
utanitenga nayo ououooh
Onana nana nana, eiyeeh dadie eh
Olala lala lalale
Mi naimani nawee
Nina imani na wewe
Imani na wewe eeh!
Nina imani na wewe
Imani na wewe eh
Na nna imani na wewe
Imani na wewe eeeh
Nina imani na wewe eeh
Imani na wewe
•••