It's Not By Power Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
It's Not By Power - Benedict Fanuel
...
It's not by power
Mh Mmh!
Just for your grace
Lord you are so great, Baba!
You are my desire, Papa ooh!
You give me light when I fight you're on my side eh!
Upendo wako umenitembelea
Me umenitembelea aah
Mbele ninaendelea
Nitaendelea nawe
Kama kuimba me ntaimba nawe (Aih nitaimba na wewe)
Kama kucheza me ntacheza nawe eh
Wee uko na mimi
Uko na mimi
Wee uko na mimi, uko na mimi
Wee uko ooh! Uko oh eieeh!
Uko nami
Uko nami Baba (Baba uko nami)
My life is you
I live for you Daddy (I live for you my Jesus)
Uko nami, uko nami Baba (Wee uko na mimi eeh)
My life is you, I live for you Dad (And I know the way you love me)
Me ninapotembea naona wema wako
Ukijisogeza karibu nami
Tena najua kuwa ni neema yako
Ilonifanya me niwepo hapa, wepo hapa leo
Wala si ujanja wangu, akili ama elimu zangu
Ila ni zako huruma, fadhili si mapenzi yangu
Wala si ujanja wangu
Akili, ama elimu zangu
Ila ni zako rehema na fadhili! Iyeeh ayayaah
Kama kuimba me ntaimba nawe (Yeiyeh ah nitaimba nawe)
Kama kucheza me ntacheza nawe eeh
Upendo wako umenitembelea (ahye)
Umenitembelea aah!
Mbele ninaendelea (ahye)
Nitaendelea nawe
Uko nami, uko nami Baba (Baba wee uko na mimi)
My life is you, I live for you Dad (I live for you my Jesus)
Uko nami uko nami Baba (I gat love forever)
My life is you I live for you Dady
Iye iyeh eeh! My Jesus
Mh! Aga dance for you, dance for you dance for you
LORD aga dance for you
Dance for you, dance for you!
Hahaa......
Trust music