
Baba Msaliti Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2013
Lyrics
Baba Msaliti - P Mawenge
...
mwanandoa msaliti,baba nisie na Soni, nyumba inasota dhiki,pesa ninayo mfukoni, rafiki zangu wazinzi walevi na wagoni,Chaka letu baa pombe ni wiski na sio comoni,meza niliopo Mimi, mwingnee mwiko kuongeaa,zungusheni zikiisha nawaongezea navokaa kwa kiti unadhani nmechil meya p the mc in charge the round the pill peya majina ya billgate kibosile mapesa Hali nyumban kwangu watoto nimewabwetesha miaka juu ya kumi na shule sijawapeleka Anasa za hii Dunia kutwa zinaniteka shida zinapowakaba watoto wangu wanakufuru afadhali wasingekua na baba kuliko baba jina ambae siwapi msaada nikiondoka Leo kurudi ni baada ya siku Saba,,, BEAT.... Nyumba nimeisaliti,imejawa na dhiki kutwa kuchaa nakesha kwenye lodge na vibinti,wazi wengi walinishauri na Badoo nikawa mbishi,siambiliki sishikiki,nikama mwenye ibilisi,nyumbani sirudi mwezi mzima siku nikirudi kasheshe litarindima,Nyumba inakua Ulingo mi ndo John Cena Ngumi Kali kwa mkewanguu,Chali mpaka Anazima kutwa na zurura viwanja vyotee Nimo naishi kiwalani na najulikana mpaka kino