Baraka ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Hebu fikiri kuhusu afya ya mwili/
Na pili, fikiri kuhusu afya ya akili/
Fikiri, huna ugonjwa huna hata dalili/
Kamili, yani uko fiti kwenye moja na mbili/
Kisha fikiri kinyume, yani turn table/
Una ugonjwa unaumwa yani you not stable/
Hata kama hujalazwa, hujatundikiwa dripu/
Lakini hauko sawa unasumbuliwa na vitu/
Au fikiri kuhusu amani uliyonayo/
Umetulia umeshiba huna njaa hupigi miayo/
Kisha waza vita.. Na migorogoro/
Hadi kulala unashindwa hulitamani godoro/
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Baraka ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Baraka ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:03:39. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Baraka ft. Adam Shule Kongwe, Baraka ft. Adam Shule Kongwe song, Baraka ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Baraka ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Baraka ft. Adam Shule Kongwe song, Baraka ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Baraka ft. Adam Shule Kongwe song, Baraka ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Baraka ft. Adam Shule Kongwe song download, download Baraka ft. Adam Shule Kongwe MP3 song