
Noma Mwanangu ft. Deddy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Noma Mwanangu ft. Deddy 🅴 - P Mawenge
...
Yeah
Aah
Asubuhi nimeamka mwanangu
Nayaelekeza macho kwenye ukuta mwanangu
Ile nacheki saa kumekucha mwanangu
So ikabidi nitupE kando mashuka mwanangu
Piga bafu paka mafuta mwanangu
Nikavunja kabati kwa kunyuka mwanangu
Kama bishoo nilivyolipuka mwanangu
Full jeans hadi koti chini Subra mwanangu (safii)
Natembea ka najitupa mwanangu
Naenda mishemishe town kuzunguka mwanangu
Kupanda basi ile nashuka mwanangu
Naona bonge la demu ndo linavuka mwanangu
Kamoyo kakaripuka mwanangu
Nikasema huyu mtu au mzuka mwanangu
Amejazia nyuma kama duka mwanangu
Yaani guu kila hatua ikinnyanyuka mwanangu
Nikasema siachi fursa mwanangu
Chomoa leso nikajipangusa mwanangu
Kisha pumzi ndefu nikashusha mwanangu
Sa ngoja nikaweke mambo super mwanangu
Hadi kwake nikajivuta mwanangu
Kisha somo zangu nikatupa mwanangu
demu kasiZi anang'ata kucha mwanangu
Yaani ndani ya dk tano mambo super mwanangu
Nikaenda nae kujirusha mwanangu
Kiwanja agiza sana chupa mwanangu
si djmoka kanikuta mwanangu
Yaani kumuona yule duu kanivuta mwanangu
Akaniambia"huyo demu bucha mwanangu,
Yaani huuza Minofu usiku kucha mwanangu
Tena kitambo amesharipuka mwanangu
Ana moto so anafanya kuzungusha mwanangu
Mamaaaaa!!! Ee bwana kaniepusha mwanangu
Bila kuaga nikakisanusha mwanangu
Tupo ghetto nafsi inanisuta mwanangu
Bila kuokolewa leo ningejuta mwanangu