
Too Expensive Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Too Expensive - P Mawenge
...
Refa ashapiga kipenga
mchanga kiganjani kama vipi vuta
na mstari umeshachorwa kama vipi vuka
nikubonyeze nyingi nyingi mpaka ujihisi kufa
kama umepigwa sound kwamba P hawezi mtiti gusa
na hii si damu kila nikinusa!
you are the B***ch
what you expecting, mmeniachia fisi Bucha
msionipenda kunidis ruksa
mnachodata kuniona kila flow yangu juu beat supa
kama wazo lako kiki futa
sitaki Rosa Ree kwenye Ngoma yangu haniiti fifi kuoa
wachaga huwa hawanipandishi mzuka
nishawawekaga kwenye rhymes shop zangu wakafilisi Duka
msela na sijadiriki vuta, wakati Home kila baada ya nyumba tano kwenye street pusha zingatia ushauri nikikupa, kila time ni (police horn) so mjomba kama una kipisi tupa, this is rap not freestylin' so if you wanna call the rappers put my name on your (....) darlin' i'mma hustler and I keep runnin' I dropped eighty bars in front of my daughter and she keeps smiling (Whoaa) nawashushia wanangu rap tamu na wanafahamu kwamba i'mma always on right time ridin' like I'm in the dirty sand, and cause I don't smoke so before the verse i got to Pop some, naulizwa P we ni mkali And why you don't shine? and why lettin' these wack ass rappers Cross line, nacheka cause I feel so fine wanangu nyie nipeni just a little time in the Dow is fine akina fulani ndo wako so simple, lakini mimi popote utakaponiona jua dow ipo huwezi niona me nabow disko me sipagawi na washkaji wapya wakati I got my old people wasionipenda wote washajifia salute all the real Ones bodaboda na bajaji pia mara moko na washkaji bia ukiacha wine shampeni tunagonga mpaka nyagi Cheers eeenhe hizi harakati kama guta marapa wao wakigusa shati napanguza kiama chao leo kwenye chati nawashusha huku chini nawategeshea harakati na napanguza haaaahaha semeni discipline SINA me bidhaa adimu haunipati Beijing China tena msiombe nisimame njia zenu mtalia njaa na sitawabakizia menyu