
Tukutane Gesti Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Tukutane Gesti - P Mawenge
...
Huu!! WeeNge
Bom Bronx yeah Atok
Show time 5k
ila kulala 10k
Nyuma ya mlango Kuna kalatasi Ya kanuni
Mteja Tafadhali usiwashe Hio Tv
Iko kwenye matengenezo
Ilihalibika AC
Mashuka nayo hayaeleweki ni rangi Gani
Mala kama kijivu mala kama kijani
Alafu Sasa jinsi yalivo tapakaa kama Ramani
Sio Africa sio Uraya sa Sielewi ni inchi gani
Feni Lina mavumbi Speed mwisho mbili2
Upepo wake haumsumbui hata mwenye ngili
Eti kuzuiya wasiibiwe Kanda mbili2 wamezi kata kata aisee utazani uchizi
Mwanangu usiulize kuhusu chawa na kunguni
Mende kila Dakka wanakatiza sakafuni
Sa ingia huko bafuni Bomba lisha vunjika
Yani Kuna ndoo imejazwa Maji ka uko bafuni
Pale Gesti chumba Isha lipa tukutane Gesti na beer kama 6
Baby tukutane Gesti
Mwenzenu Nisha piga pombe Kali na kilemba Nisha funga inakwita
Baby tukutane Gesti mwenzio Nisha timba
Tukutane Gesti Kuna kitu Kiko wima
Baby tukutane Gesti
Tayali Nisha Bet mwenzio hii match nakalibia kushinda
Usiombe ndo uingie na madem wa Insta
Aisee mjomba jua ndo tayali ushaa aibika
Ukizama Toi kavuta Sim kapiga Picha
Mkitibuana kesho kila Kona kakuanika
Madilisha vioo ila yote hayafungi
Kuna ya nyavu nayo ila yamejaa mavumbi
Nyuma jilani kibalazani madem kundi
Utasikia mbona kimya au halipandi mtungi
Wanakata ila utafanya Nini
Pesa Yako ndo inamudo vi Gesti vya uswahilini
Yani vikilia kwich kwich kala ishilini20 Chaga inachomoka puu wote chini
Shida zinazoeleka aisee ila hii lizidi
Wamiliki wa Gesti kwanini inakuaga hivi
Mitanda Bui nyomi haupati hata usingizi
umeingia mtana shati ila unatoka kama chizi
Pale Gesti chumba Isha lipa tukutane Gesti na beer kama 6
Baby tukutane Gesti
Mwenzenu Nisha piga pombe Kali na kilemba Nisha funga inakwita
Baby tukutane Gesti mwenzio Nisha timba
Tukutane Gesti Kuna kitu Kiko wima
Baby tukutane Gesti
Tayali Nisha Bet mwenzio hii match nakalibia kushinda
@Bologetv