
Run Dsm ft. Dully Sykes & Young Killer Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Run Dsm ft. Dully Sykes & Young Killer - P Mawenge
...
Kwa jinsi navyoizinga rap, hawapiti majamaa
Wanashangaa kuona kila biti natambaa
Wanajiuliza yuko vipi huyu kachaa?
Asante kwa mwenyezi maana niko fiti mpaka raha
Wote ma mc viburi watakoma
Kama rap ganja badi mpaka puli nishachoma
Cheki time hii niko na Dully kwenye ngoma
Machizi wanapiga yowe "MWANA NZURI MPAKA NOMAA"
Mi ni mwendawazimu sifai katu
Padri toka kuzimu nanywesha divai wafu
Unayejifanya we ndo bingwa wa rap
Haya potea, m-baya nishatinga kwa map
Usifanye usiku nije "knock your doors"
Naked with ma di**k straight like pinocio nose
Coz, nataka nije run dsm
And i dont' want to be the same So lets gooo.....
(Dully Sykes)
Eyo whatsap, haters na machizi wangu wote kwenye rap
Mimi ndo mwenyewe na nshatimba kwenye map
Ona nazitafuta nazo zaja chap chap...... Nataka run dsm
Na.... nana nanana nana naa
Nana nanana nana naa x 2
(Young Killer)
Mapenzi hayana shule binadam hatufundishwi kupendana
Sijahit bure muda ule haikuwa rahisi kusimama
Haikuwa njama nlikazana kibishi
Sio kama rap ya kweli hakuna, ila wanaochana hawaridhishi
Leo nakamua kikauzu
Na najua kuwa hata akili inahitaji nguvu
Ili i-move, nisonge mbele niwaache mazuzu
Nawachenga ambao mtihani wa kubebwa wamefuzu
Vinakera vikwazo, kipaji ndo chanzo
Mziki hauna hela nlizotarajia kuwa nazo
Futa mawazo, presha na aibu
Sasa utapataje pesa, kama ukiwaza tu haupati jibu
Nini maana ya muziki kama uwezo hautumiki
Ukichana kupita kiasi unapoteza mashabiki
Skia, nataka nije run dsm
And i dont want to be the same
Eyo whatsap, haters na machizi wangu wote kwenye rap
Mimi ndo mwenyewe na nshatimba kwenye map
Ona nazitafuta nazo zaja chap chap...... Nataka run dsm
Na.... nana nanana nana naa
Nana nanana nana naa x 2
Unaweza kuwa na nyimbo tele, yah ukafanya nyingi
Ila zote kelele zaidi ya kengele ya Misanya Bingi
Mi nitadumu hadi milele kwa misingi
Hadi siku navishwa suti tai mbele kama dingi
Ukiniita "booth" haina kwere man
Waulize wanaonijua kwenye rap niko very fine
Tena huaga sioni gere man
Sumu ya marapa mimi ya mapenzi muulizeni Belle 9
Navyowapa shurba hawaamini
Nawaganda kisawasawa zaidi ya ruba mwilini
Mi ndio "Carbon", nikitimuka hawavuti hewa
Levo zao chini sana ka bei za uchi sewa
Wanasema nna sura ya kipedeshee
Acha wale ujana maana mi ntakula mpaka uzee
Skia, nataka nije run dsm and i dont' want to be the same
So lets gooo