
My Future Wife Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
My Future Wife - P Mawenge
...
Wengeee
Dear future wife
Chuganian girl
Hivi nini baby wangu kilichofanya unidhalilishe
Mpaka majirani wananitukana ili niaibike
Sema kama mimi ndo nilikukana usifiche
Ka sio we mwenyewe kuna bwana alikufanya ukipe
Ulipotoka kwenu ni mm ndo ulinifata
Ingawa mabwana zako mjini walishajipata
Ila sababu tu kijijini walikukacha
Ukaona bora tu utulie na mm tuanze chapter
Nikakupa mahaba na ukadata nayo sana nikajua lile penzi tungezikwa nalo mama
Wala sikufikili kuna siku tungeachana na ungetumwa na mabwana zako uje kuntukana
Kwanza hatukugombana
Hakuna nlichokufanya
Ila ukatoka kwangu ukaanza kuishi kwa kuhamahama
Me naletewa umbea tu unavochange mabwana
Roho iliniuma haki nilisikitika sana
Ukazungusha mwili kila kona ya mtaa
Na hasa ulipagawa kila ulipoona mastaa
Nilikonda watu wakajua nina ngoma kachaa
Wakat mwanzo ulinikuta nimenona balaa
Ukadanga sana ukijua utapata matajiri
Ajabu wakakutosa kila ulipowapa mwili
Dunia kijiji si ndo zikatapakaa siri
Kwamba umewarudia wale waliokutosa Asili
Hapo ndo nikajua kwamba uwapendi mahustler
Unapenda mabishoo wenye vichenji vya ghafla
Wanavyovipata kwenye ki ki kitonga
Hadi ukawapa ki ki ki kidonda
Ulinishinikiza sana tuiandae future
Tumuombe sana mola maana ndo atakaetupa
Sa kwann boya aliekutosa umvagae pupa
Au ushamba baby umekufanya ukaishangae supra
Kisa macheki bob na wamesokota virasta
Yaan wamekuchanganya kabisa mpka umedata
Ulisema sina koroni sa mbna umelifata
Bila hata kujali walikuona kama takataka
Najiuliza ni kipi cha siri wanachokupa
Kusema kweli kwa hzi siku mbili umefutuka
Umenona baby yan mpka mwili umechanuka
Ila punguza japo kilo mbili mbili utapasuka
Lakini kuwa makini nenda kwa tahadhari we ndo umetada ila mwenzio hana habari
Hata akiulizwa manzi gani anamkubali anamtaja mwingine kwako anapita tu safari
Sasa leo cheki unanivua nguo hadhalani na tulishea Nyumba hadi funguo za chumbani
Kisa kakusitili bwana ako uyo wa zamani
Baby unabugishwa hvi ujinga uo ujinga gan
Mara kibao nimejitahidi kukuskiza
Kipindi wanaotujua wanapoamua kukuulza kisa me na hao mabwana zako hatujawai kuiva ndo unanichukia hadi unazuga kujiliza