![Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0B/52/6A/rBEeM11yA1OAPTYeAABzNXkQjII993.jpg)
Wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Wewe - B2K
...
wasafi records
nashukuru umefika
huu ndo muda husika
ila tangu umefika umenuna ndani
sikupaga kabisa nikutoe nje ya moyo wangu
walopanga hivi visa wamenuna ndani
wamenuna ndani
Naamini hii ni dunia
kila mtu na chake
hata ukila chako wanakondaga
Mhh!
mi so mzoefu kupotea
acha waniteme mate
hata nikila changu wanachovyaga
ila mi sijali
hawa
njoo unipoze hali
mababy
tumetoka mbali
naweee
waleo hawausijali
ila mi sijali
hawa
njoo unipoze hali
mababy
tumetoka mbali
naweee
waleo hawausijali
najua we hauenjoy moyo wangu
na mi sijali
we pekee ndo unaetambua poizo yangu
naomba Hai
najua we hauenjoy moyo wangu
naomba Hai
we pekee ndo unatambua poizo yangu
naomba Hai
Naamini hii ni dunia
kila mtu na chake
hata ukila chako wanakondaga
mi so mzoefu kupotea
acha waniteme mate
hata nikila changu wanachovyaga
ilo mi sijali
njoo unipoze hali
ma babe
tumetoka mbali
naweee
waleo usijali
mababe
ilo mi sijali
njoo unipoze hali
ma babe
tumetoka mbali
naweee
waleo usijali
mababe
Mmh!
Mhhh!
swala la kwenu kuenda
ulinambia
Mhhh!
kumwacha mtu kukakonda
kiguna njia
tena
walaahi mi nilishakupenda
si unaona nyumbani wamepenga
kila mtu midoti ya mikhanga
kuhusu wewe
mmh!
si unajua watu kwa kukonda
vikundi vikundi watajenga
huku ndo imesha fungwa
aibu wewe
Eeeh!
walikuita gogoo
Ukatulia wangu
wakaleta zogo
nikupotezee wangu
walikuita gogoo
Nikatulia wangu
wakaleta zogo
nikupotezee wangu
ilo mi sijali
njoo unipoze hali
ma babe
tumetoka mbali
naweee
waleo usijali
mababe
ilo mi sijali
njoo unipoze hali
ma babe
tumetoka mbali
naweee
waleo usijali
mababe
Mhh!
@avenyaclassic.IG.
ayooh lizer