Mtetezi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mtetezi - Guardian Angel
...
still alive
wewe ndiwe unaye nitetea
wakiinuka dhidi yangu wee ndio mtetezi wangu
wewe ndiwe unaye nitetea
unapigana vita vyangu wewe ndiwe ngao yangu
wewe ndiwe unaye nitetea
wakitaja unyonge wangu na pia udhaifu wangu Bwana yesu
wewe ndiwe unayenitetea
wanaonijia kwa njia moja unawatawanya kwa njia saba
Bwana wewe ndio unayenitetea Yesu uu
unawakanyanga walio ndani yangu zaidi ya wale wal o kinyume changu Bwana wewe ndiye unayenitetea
Yesu uu
umeniepusha na adui zangu
umeniondolea majaribu
umenitunza umenihifadhi
unanilinda unanitetea
wewe ndiwe unayenitetea Bwana
wewe ndiwe unayenitetea
wewe ndiwe unapigana vita vyangu mimi
wewe ndiwe unayenitetea
Old weapons fashioned against me you will protect me
all the evil as well similar but you will uplift me
Father you mi Gid fi di confindent that you are with me
always defend me
you are there with me my Jesus
kila silaha itakayofanywa juu yangu
Bwana utaiondoa ondoa ondoa yee
umeniepusha na adui zangu
umeniondolea majaribu
umenitunza umenihifadhi
unanilinda unanitetea
wewe ni baba yangu
wewe ni baba yangu mimi
wewe ndiwe unayenitetea
wewe ndiwe unayenitea mimi
wewe ndiwe unayenitetea
...
wewe ndiwe unayenitetea mimi
wewe ndiwe unayenitetea
wewe no baba yangu
wewe ni baba yangu wee
wewe ndiye unayenitetea