![Kuoshwa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/02/817e4d87e8ff46308e265a6faea15309.jpg)
Kuoshwa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kuoshwa - Guardian Angel
...
(siri sounds production)
Kuoshwa kwa damu
itutakazayo ya kondoo
ziwe safi nguo nyeupe mno
umeoshowa kwa damu ya kondoo
(Alexis on the beat )
wamendea Yesu
kwa kusafiwa
nakuoshwa kwa damu ya kondoo
cha neema
yake mumemwagaiwa
umeoshwa kwa damu ya kondoo
kuoshwa kwa damu
itutakazayo ya kondoo
ziwe safi nguo nyeupe mno
umeoshwa kwa damu ya kondoo
wamandama daima mkombozi
nakuoshwa kwa damu ya kondoo
yako kwamsulubisha makazi
umeoshwa kwa damu ya kondoo
kuoshwa kwa damu
itutakazayo ya kondoo
ziwe safi nguo nyeupe mno
umeoshwa kwa damu ya kondoo
atakapo kuja bwana arusi
kuwe safi kwa damu ya kondoo
yafae kuendea mbinguni mavazi
yafuliwe kwa damu ya kondoo
kuoshwa kwa damu
itutakazayo ya kondoo
ziwe safi nguo nyeupe mno
umeoshwa kwa damu ya kondoo
yatukuwea hii na takataka
nauoshwe kwa damu ya kondoo
huo ndi kijito cha tiririka
nauoshwe kwa damu ya kondoo
kuoshwa kwa damu
itutakazayo ya kondoo
ziwe safi nguo nyeupe mno
umeoshwa kwa damu ya kondoo
kuoshwa kwa damu
itutakazayo ya kondoo
ziwe safi nguo nyeupe mno
umeoshwa kwa damu ya kondoo.
Ivanovic Empire 254 Instagram
+254742806564 WhatsApp