![Nitainuka ft. Goodluck Gozbert](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/10/4cc0c309b9984d529002d5d3dee11a3c_464_464.jpg)
Nitainuka ft. Goodluck Gozbert Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nitainuka ft. Goodluck Gozbert - Guardian Angel
...
Beats......
Eeeeiih eeeiihhh .....Eeeeiih eeeiihhh
Still Alive
Chorus;
Nitainuka juu, na nitabariki familia yangu,
ukinitazama leo hii, ni vumbi tuu,
Nitainuka juu, na nitabariki marafiki zangu,
nangojeaga tuu, baraka zangu.
Eeeh he
(Wale wanasubiri tufeee, tafuta viti mkae,
Tunasubiria zinyeshee, baraka za Bwana)*2
Booom shaka...
Wachana nao wanicheke wanicheke,
Wachana nao wanisemee, wacha waniseme,
vile wanapenda wanikemee, wacha wanikemee
wengine wao wanionee
lakini najua kwamba, Bwana anazungumza mema juu yangu mie eeehhee,
nangojeaga tuu, baraka za juu,
hebu karibia, pigwa picha na mimi,
uoneshe marafiki zako, waamini unanijua,
nikiinuliwa juu, itakua ngumu kwako kunitambua,
nikipokea tuu, baraka za juu.
Chorus;
Nitainuka juu, na nitabariki familia yangu,
ukinitazama leo hii, ni vumbi tuu,
Nitainuka juu, na nitabariki marafiki zangu,
nangojeaga tuu, baraka zangu.
Eeeh he
(Wale wanasubiri tufeee, tafuta viti mkae,
Tunasubiria zinyeshee, baraka za Bwana)*2
Japo kuwa nimekosa maneno, ya kujitetea tena,
moyoni mwangu, nasubiri nasubiri,
japo kuwa wamenizidi mwendo, na kunionyesha dharau,
watu wa jumba lile, na gari lile na pesa zile, aah,
Nami nitabarikiwa one day, nasema one day,
hizi shida nitasahau, najua one day,
kufutwa machozi one day, ooh one day,
nangojeaga tuu, baraka za juu.
Chorus;
Nitainuka juu, na nitabariki familia yangu,
ukinitazama leo hii, ni vumbi tuu,
Nitainuka juu, na nitabariki marafiki zangu,
nangojeaga tuu, baraka zangu.
Eeeh he
(Wale wanasubiri tufeee, tafuta viti mkae,
Tunasubiria zinyeshee, baraka za Bwana)*2
eeh uuum eeeh uuum uuum uuum eeeehh, uuum uuum uuum eeeehh,
uuum uuum uuum eeeeiiihh, uuum uuum uuum, eeeehh, uuum uuum uuum,
eeeehh, uuum uuum uuum, eeeehh, uuum uuum uuum, eeee uuum uuum uuum
Fade