YESU SIO MWIZI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
YESU SIO MWIZI - Guardian Angel
...
Yesu sio mwizi lakini ameuiba mwoyo wangu
Yesu si polisi anifunge ananibeba bembeleza
yeye ni rafiki wa dhati akiahidi lazima atatenda
Yesu ni mfalme wa amani kuwa karibu naye natamani *2
Yesu Yesu ni rafiki nimemwona dhabiti, Yesu Yesu rafiki ahadi zake kweli*2
.......
oh subiri ramumwami robulai mumboyo gwanje obulo namalatokake bolireshuya ishihaya
Yesu no murina wa toto avolanga manakokake e Yesu no murina wa toto ovaebininae namangaaa
Yesu Yesu no murina emu nonanga bane
Yesu Yesu no murina manakokake toto*2
.........
Yesu Yesu ni rafiki nimemwona dhabiti Yesu Yesu rafiki ahadi zake kweli*2........
kumtegemea Yesu ni utamu sana
kukubali neno lake raha moyoni
kumtegemea Yesu ni utamu sana kwake daima nimepata uzima na amani*2
Yesu Yesu ni rafiki nimemwona dhabiti Yesu Yesu rafiki ahadi zake kweli *2
neno lake bwana ni kweli na hakika (ahadi zake kweli)
akiahidi kitu lazima atatenda(ahadi zake kweli)
Mungu ni mwaminifu ouwoo(ahadi zake kweli)
ahadi zake kweli (ahadi zake kweli)....